DAWA YA KUFUKUZA JINI MAIT,MAHEMBE,JINI MAHABA,NK
DAWAHIZI HUTUMIKA KUFUKUZA MAJINI AINA ZOTE HASA MAJINI MAITI NA MAHEMBE NA JINI MAHABA MAANA HAWA NDIO MAJINI WANAOTIKISA ULIMWENGU NA WANACHANGIA KURUDISHA MAENDELEO YA WATU NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.
1Majani ya mbaazi.
2Majani ya mkaratusi.
3 Majani ya tumbaku.
4Majani ya mkuyu.
5Majani ya mzambalau.
6Majani ya matula tula jinalingine tunguja.
7Samaki aina ya shilonge.
8Majani ya makaburini ya konazote.
9Unga wa vitunguu swaum.
1 Mti ulio agushwa na upepo mizizi iliyo tazama juu.
11. Mvuje.
12. Hal titi.
13. Miat saaila.
14. Karafuu maiti.
matumizi
sagadawahizi pamoja na uweke katika chupasafi au katika kopo la prastiki
kunywa kwenyeuji 1 mara 3 kwa siku mpaka siku7 au kama tatizolako ni la mda mrefu tumia kwa siku 14 au zaidi.
Pia kujifukiza ni asubuhi na jioni.
Na kuoga ni asubuhi na jioni pia unapotaka kulala unapaka utosini.
Hakika kama ni jinni anae kusumbua atatoka harakasana.
No comments:
Post a Comment