NINI MAANA YA DAWA ZA KISUNNA
TIBA Tiba
maana yake ni ujuzi na utambuzi wa aina mbalimbali za maradhi ya
binaadamu na namna ya kutibu kwa kutumia madawa yaliotajwa ndani ya
Qurani na hadithi za mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake. Mfano
asali imetajwa ndani Qurani na habbat saudaa imetajwa ndani ya hadithi.
MARADHI YAMEGAWANYIKA SEHEMU MBILI (1)
MARADHI YA KIMWILI AU KIBAYOLOGIA. kivuli hadi ikauke vizuri kasha
ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na
unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana
yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado
muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu
tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila
ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo
ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4 (f)
Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie
mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu
.Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA
NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI WA MADAWA Haya
ni maradhi ambayo husibu au kudhuru mwili wa binaadamu na akipimwa
hospitalini kupitia vipimo vya kisasa kama vile ultrasound , x ray,
kupimwa presha,damu na choo maradhi hua hayaonekani. Mgonjwa huendelea
kuumwa ingawaje vipimo havi kivuli hadi ikauke vizuri kasha ihifadhiwe
sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na unyevunyevu au
upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana yake ni kua
utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado muda wake
haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu tiba pia ni
jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila ya elimu
au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo ya tabibu
pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4 (f)
Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie
mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu
.Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA
NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI WA MADAWA onyeshi maradhi. 2 (2)
MARADHI YA KIROHO (SPIRITUAL DISEASES) Haya ni maradhi ambayo binaadamu
hua anaumwa na vipimo vya hospitali vinaweza kuonyesha au yasionyeshe
maradhi . Maradhi haya hutokana na uovu wa uchawi, majini au husda. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA ILI DAWA ZA KISUNNAH ZIWE NA NGUVU AU ATHARI ZA KUTIBU. (a)
Jinsi dawa ilivyopandwa shambani pia ni jambo la msingi kuzingatiwa
ipandwe sehemu yenye rutuba nzuri na wala wakati wa kupanda usiweke
mbolea yenye kemikali. Mmea unaopandwa bila mbolea ya viwandani yenye
kemikali huitwa kiutaalamu Organic na mmea unaopandwa kwa mbolea ya
kemikali huitwa in organic plants. Hakikisha mmea wa dawa unakua organic
kwa sababu haitakua na madhara yoyote. Mmea ambao hupandwa kwa 3 mbolea
ya kemikali ya viwandani hua na madhara ya hayo makemikali. Kwa hivyo
hakikisha unapata dawa ambayo ni organic. (b) Kuhifadhi dawa baada ya
kutoka shambani katika hadhi nzuri na utaalamu katika ghala . Hapa
lazima kuanza dawa ikaushwe kweny(2) MARADHI YA KIROHO (SPIRITUAL
DISEASES) Haya ni maradhi ambayo binaadamu hua anaumwa na vipimo vya
hospitali vinaweza kuonyesha au yasionyeshe maradhi . Maradhi haya
hutokana na uovu wa uchawi, majini au husda. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA ILI DAWA ZA KISUNNAH ZIWE NA NGUVU AU ATHARI ZA KUTIBU. (a)
Jinsi dawa ilivyopandwa shambani pia ni jambo la msingi kuzingatiwa
ipandwe sehemu yenye rutuba nzuri na wala wakati wa kupanda usiweke
mbolea yenye kemikali. Mmea unaopandwa bila mbolea ya viwandani yenye
kemikali huitwa kiutaalamu Organic na mmea unaopandwa kwa mbolea ya
kemikali huitwa in organic plants. Hakikisha mmea wa dawa unakua organic
kwa sababu haitakua na madhara yoyote. Mmea ambao hupandwa kwa 3 mbolea
ya kemikali ya viwandani hua na madhara ya hayo makemikali. Kwa hivyo
hakikisha unapata dawa ambayo ni organic. (b) Kuhifadhi dawa baada ya
kutoka shambani katika hadhi nzuri na utaalamu katika ghala . Hapa
lazima kuanza dawa ikaushwe kweny kivuli hadi ikauke vizuri kasha
ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na
unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana
yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado
muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu
tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila
ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo
ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4 (f)
Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie
mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu
.Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA
NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI kivuli
hadi ikauke vizuri kasha ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na
wala sio kwenye jua na unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi
wa dawa. Hapa maana yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake
ya uhalisi na bado muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi
wa tabibu kuhusu tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu
akawa tabibu bila ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa
kuhusu maelekezo ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4 (f)
Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie
mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu
.Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA
NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU NA MARADHI MAANA HAKUNA NEEMA KAMA UZIMA.
KILAMTU HUPENDA AWE MZIMA NA UNAPOKUA MGONJWA HUWEZI HATA KUFANYA IBAADA MAANA AFYA HAI RUHUSU.
(2)
MARADHI YA KIROHO (SPIRITUAL DISEASES) Haya ni maradhi ambayo binaadamu
hua anaumwa na vipimo vya hospitali vinaweza kuonyesha au yasionyeshe
maradhi . Maradhi haya hutokana na uovu wa uchawi, majini au husda. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA ILI DAWA ZA KISUNNAH ZIWE NA NGUVU AU ATHARI ZA KUTIBU. (a)
Jinsi dawa ilivyopandwa shambani pia ni jambo la msingi kuzingatiwa
ipandwe sehemu yenye rutuba nzuri na wala wakati wa kupanda usiweke
mbolea yenye kemikali. Mmea unaopandwa bila mbolea ya viwandani yenye
kemikali huitwa kiutaalamu Organic na mmea unaopandwa kwa mbolea ya
kemikali huitwa in organic plants. Hakikisha mmea wa dawa unakua organic
kwa sababu haitakua na madhara yoyote. Mmea ambao hupandwa kwa 3 mbolea
ya kemikali ya viwandani hua na madhara ya hayo makemikali. Kwa hivyo
hakikisha unapata dawa ambayo ni organic. (b) Kuhifadhi dawa baada ya
kutoka shambani katika hadhi nzuri na utaalamu katika ghala . Hapa
lazima kuanza dawa ikaushwe kwenye kivuli hadi ikauke vizuri kasha
ihifadhiwe sehemu yenye kivuli na ukavu na wala sio kwenye jua na
unyevunyevu au upepeo mkali. (c) Ubora au uhalisi wa dawa. Hapa maana
yake ni kua utumie dawa ambayo bado ina hadhi yake ya uhalisi na bado
muda wake haujaisha yaani expired. (d) Elimu na ujuzi wa tabibu kuhusu
tiba pia ni jambo la msingi kwa sababu haiwezekani mtu akawa tabibu bila
ya elimu au fani ya tiba. (e) Uzingatiaji wa mgonjwa kuhusu maelekezo
ya tabibu pia ni muhimu kwa kufanikisha kupona kwake. 4 (f)
Ni lazima mgonjwa awe na imani na yaqini kuwa ALLAH (S. W.) pekee ndie
mponyaji na wala sio daktari wala dawa bali daktari na dawa ni sababu tu
.Kuna msemo wa kitauhidi usemao kuwa NI UJINGA KUACHA KUTUMIA DAWA NA
NI UKAFIRI KUTEGEMEA DAWA. UTENGENEZAJI WA MADAWA ZA KISUNNAH KWA MIUNDO MBINU ZA KISASA. Baada
ya dawa kutoka shambani kwa mkulima na kuhifadhiwe kwenye ghala au
madukani hatimae humfikia tabibu . Tabibu baadae hugeuza dawa hizi
ambazo ni katika mfumo wa majani, mbegu, mizizi, maua, magome n.k.
katika mfumo mwepesi kwa mgonjwa kuweza kutumia. Dawa imegawanywa
kulingana na matumizi ya ndani na n MATUMIZI YA NDANI (INTERNAL USE) (a)
Juisi halisi.Hii ni tiba kwa juisi itokanayo na matunda na mboga
mbalimbali yenye uwezo wa kutibu maradhi husika. Inajulikana kama JUICE
THERAPY.Mfano tiba kwa juisi ya machungwa na karoti kwa kutibu macho
yasioona vizuri. (b) Dawa katika mfumo wa urojourojo yaani paste au
maajuni. (c) Chai halisi yaani herbal tea. Hii ni dawa katika mfumo wa
unga wa dawa ilio sagwa mfano unga wa habasoda. (d) Syrup. Hapa dawa
hutengenezwa katika mfumo wa kinywaji kitamu mfano syrup ya mafua. (e)
Vidonge na capsules (f) Aromatherapy. Hapa maana yake ni mgonjwa kupewa
da kupata harufu ya dawa. Mfano wa mafusho udi mvuke wa mwarubaini au
habasoda. MATUMIZI YA NJE ( EXTERNAL USE ). (a)
Dawa za kuchua. (b) Sabuni. (c) Jelly au mafuta ya mgando kwa maradhi
ya ngozi. (d) Krimu. (e) Mafuta ya nywele yaani hair tonic. (f) Shampoo.
(g) Losheni. (h) Dawa za vidonda na majeraha.. HERBAL CLASSIFFICATION: MGAWANYIKO WA DAWA ZA MITI KULINGANA NA UTENDAJI KAZI. Ni
lazima tabibu awe na maarifa yafuatayo ili aweze kutengeneza dawa kwa
maradhi husika. (a) Uwezo wa dawa kuweza kutibu – cure or healing power.
7 (b)
Nutrients percentage. (c) Herbal composition and classification. Elimu
au maarifa ya herbal classification ni ujuzi au utambuzi wa uwezo wa
kuweza kutibu kwa dawa na katika mgawanyiko kulingana na uwezo na kazi
ya dawa. Migawanyiko wa uwezo wa dawa ni kama ifuatavyo; (1) AROMATIC
DIGESTIVES. Hizi ni dawa zenye uwezo na nguvu za kuchochea usagaji wa
chakula mwilini ufanyike vizuri na kumpa mtu hamu ya kula. Huongeza
utengenezaji na utendaji kazi wa vimengenya mwilini vya digestion. Mfano
ni iliki, mdalasini, karafuu , pilipili manga.
(2)
VASOLIDATORS. Haya ni madawa ambayo hutuliza mwili kutokana na uchovu
na maumivu. Hushusha homa, husaidia mzunguko wa damu mwilini. Mfano ni
tangawiizi, kitunguu saumu. 8
(3)
SEDATIVES AND ANTISPASMODICS. Haya ni madawa ambayo hutuliza maumivu na
kumpa mtu utulivu au burudani.- calming and soothing effects mentally
and physically. Mfano ni babunaji, nana, passion flowers. (4) DIURETICS
(CLEANSING HERBS) Madawa haya husaidia katika kutoa taka mwilini yaani
katika excretory system ambayo ni mfumo wa mkojo, jasho, sumu n.k. Mfano
ni aloe vera, zaatar n.k. (5) EXPECTORANTS. Ni madawa khasa yenye uwezo
wa kusafisha na kutoa taka au maradhi ndani ya mapafu na koo.Mfano
zamda ya mbegu. (6) TONIC HERBS. Ni madawa yenye uwezo wa kuongeza nguvu
za kiume na mwili kwa jumla. Mfano ni arkisusi, uwatu. Hulinjan n.k
No comments:
Post a Comment