ZITAMBUE NDOTO ZAKO UZIOTAZO
NDOTO
(1) Ukiota unacheza karata= utapata bahati
(2) Ukiota uakula kabeji= utapata maradhi ya kujitakia.
(3) Ukiota unaona karanga= vulugu haziishi nyumbani.
(4) Ukiota umevaa nguo mpya= utazawadiwa
(5) Ukiota umevaa nguo nyeusi= utapata mikosi.
(6) Ukiota umevua nguo= utapata hasala lakini kama nguohiyo ni cchafu= mikosi ita kuondoka.
(7) Ukiota vaa nguo zilizo chanika= utapatwa na aibu.
(8) Ukiota umevaa nguo za mapambo au za maua= utapata furaha.
(9) Ukiota unaendesha kigari cha farasi= utakua ombaomba.
(10) Ukiota unachoma mkaa= utaoa mwanamke alie achika.
(11) Ukiota umepata mafua= una maadui wa kisilisili.
(12) Ukiota umeona mahindi= utapata faida katika shugurizako.
(13) Ukiota uko kwenye ukumbi wa mziki = utapata habari nzuli toka kwa rafikiyako wa karibu.
(14) Ukiota kiza kinene= utadanganywa au utatapeliwa.
(15) Ukiota unaona giza kasha ukawa mwanga= kama ni mfungwa atafunguliwa na kama si mfungwa ni dalili ya mamboyako kifunguka.
(16) Ukiota uko msibani= harusi. Ila ndotohii ikijirudia ni dalili ya jinni maiti.
(17) Ukiota jinni limekudhulu au umeliogopa kupita kiasi= kuna hatali mbeleni.
(18) Ukiota unchimba shimo na kasha likapotea= nidalili ya kuikosa mazao na utafukuzwakazi na pia ni dalili ya kukosa nvua.
(19) Ukiota unatumbukia shimoni= utapata mikosi na utatesekasana ki maisha.
(20) Ukiota unavuka mto kwa kutumia gogo= utapata watetezi katika mamboyako na kama unakesi utasshinda kwa msaada wa mtu.
(21) Ukiota umemuona dragon= utapata utajili kwa njia ya mazingali(madawa)
(22) Ukiota umemuona chatu= utapata utajili.
(23) Mwanaume akiota anaona nguo ya kike imeanikwa= atapatwa na mabalaa.
(24) Ukiota unakunywamaji wakati jia linachomoza na una kinywa kwa kutumia mkono wa kushoto= utapata maradhi.
(25) Ukiota ulewa pombe kupita kiasi= utapata marafiki wa maana na pia ni mafanikio ki mapenzi.
(26) Ukiota unazama ndani ya maji =nidalili ya kupata mikosi.
(27) Ukiota unamuona mtu anazama ndani ya maji= mikosiyako itaisha.
(28) Ukiota unonafunza= kaachonjo kuna maadui.
(29) Ukiota unakula= mikosi.
(30) Ukiota unalishwakitu= nikweli umelishwa.
(31) Ukiota umekufa kwa kupiganiadini= amalizako ni njema.
(32) Ukiota unakunywa maziwa= utapata mafanikio.
(33) Ukiota mkeo matiti ni makubwa= utapata mafanikio.
(34) Ukiota mbalamwezi inang”aa= utapata furaha na mafanikio
(35) Ukiota umepotezapesa= utapata hasala ki biashara.
(36) Ukiota umepatahela = mafanikio ila si kuokota.
(37) Ukiota unaokotahela= utapata mikosi.
(38) Ukiota umekunja chuma= umewashinda maadui.
(39) Ukiota nyota inang”aa wakatihuo una mchumba= mtafarakana na mchumbawako.
(40) Ukiota nyota imeanguka= afyanjema.
(41) Ukiota umemuona bata mzinga= ndoayenu ni ya mafanikio na mtapata watotowengi.
(42) Ukiota unang”okajino= utapoteza rafiki wa karibu.
(43) Ukiota umeng”oka meno ya mbele utapoteza marafiki wengi na ndugu watakuchukuya.
(44) Ukiota unikunywa maji masafi= utapata furaha.
(45) Ukiota unakunywa maji machafu= matatizo yanakunyemeleya.
(46) Ukiota unaona maba= utapata maumivu.
(47) Ukiota unachomwa mwiba= utapoteza pesa.
(48) Ukiota radi inapiga= mafanikio katika biashara.
(49) Ukiota radi imekupiga= umekumbwa na jinni.
(50) Ukiota umemuona kobu= biashara zako zitaenda polepole
(51) ukiota unakulakobe= mtalekebisha tofautizenu za ndoa.
(52) Mwanamke alie achika akiota anafunga ndoa= ni nikosi.
(53) Mgonjwa akiota anafungandoa na mwanamke alie achika= atakufa.
(54) Ukiota unalia= ni fulaha na upendo.
(55) Mgonjwa akiota anafunga ndoa na msichana ambae haja olewa= atapona,
(56) Ukiota unaona karatasi nyeupe= utapata mke wa maana na watoto wa heli.
(57) Ukiota unachana karatasi= utaendekeza umalaya.
(58) Ukiota unatembea katika bara bara lililo nyooka= mafanikio mbeleyako na ni afya njema.
(59) Manamme akiota anamuona tausi= atapata mke mzuri na atatajilika.
(60) Mwanamke akiota anamuona tausi atapata mwanamme tajiri lakini ni muongo muongo.
(61) Ukiota unamuona bundi= nimikosi na vifungo
(62) Ukiota njegele zimepikwa= mafanikio.
(63) Ukiota unakula mkaa= utapata mikosi.
(64) Ukiota unaona vitunguu= utapata habali njema.
(65) Mwanamme akiota anaona vitunguu= atapata mwanamke mwaminifu ila ni mwenye hasira.
(66) Ukiota unachimba kaburi= jinni maiti na pia ni dalili yakwa mba kuna tabia unayoifanya si nzuli itkuingiza katika wakati mgumu.
(67) Ukiota unalima na ng”ombe= mafanikio.
(68) Ukiota watu wanalima na ng”ombe lakini zinazama= nidalili ya mavuno mabaya.
(69) Ukiota watu wanalima juu yam lima= utapoteza mifugo.
(70) Ukiota umepewa tundadam chachu= utagombana na rafikiyako.
(71) Tajila akiota nasali= furaha
(72) Maskini akiota anasali= matatizo na mikosi.
(73) Mwanamme akiota anachota maji kisimani= ataoa.
(74) Mwanamke akiota anachota maji kisimani= ataolewa.
(75) Ukiota una kunywa wiski= ni mikosi, mabalaa, majuto.
(76) Ukiota upepo wa kimbunga= utaoa mke mwenye makelele.
(77) Tajili akiota amebemba mbao= mikosi
(78) Maskini akiota amebeba mbao= bahati.
(79) Ukiota una andika=jihadharili na kaulizako.
(80) Ukiota unapiga miayo= rafikizako wamekuchoka.
(81) Ukiota unaona kitu chochote cha njano= mafalakano katika mapenzi yenu.
(82) Ukiota unamuona punda milia= kua mwangalifu katika maishayako.
(83) Ukiota watu wanapiga talumbeta.= utapata mikosi na matatizo.
(84) Ukiota unaona ndim= utapata ugonvi au kutukanwa.
(85) Ukiota unaona mwanamke bikra= utapata habali njema.
(86) Maskini akiota anatapika atapatapesa lakini kwa tajili atafilisika.
(87) Ukiota vita= matatizo na huzuni.
(88) Ukiota unamuona mamamkwe= utaugua.
(89) Ukiota unaongeana mama yako vizuli= uta fanikiwa kwa lolote.
(90) Ukiota mpishi yuko ndani ya nyumba= utao mwanamke wa maana na kama una matatizo. Yataondoka.
(91) Mgonjwa akiota anamuona mpishi= haliyake itakua mbaya.
(92) Ukiota unaona kisu= mafaninio.
(93) Ukiota unamuona paka utaibiwa.
(94) Ukiota paka amekuuma= utaletewa habali za uongo.
(95) Ukiota unakula keki= furaha na mafanikio.
(96) Ukiota mshumaa unawake kasha ukazimika= mamboyako yatahalibika pia ni ishala ya kufilisika.
(97) Mgonjwa akiota mshumaa umawashwa = atapona.
(98) Ukiota mshumaa ambao haujawashwa= utapata zawadi nono.
(99) Ukiota unaona watoto wengi ndane ya nyumba= nadalili ya kufungika kwa kizazi
(100) Ukiota unakunywa kahawa= marafikizako ndo maaduizako.
No comments:
Post a Comment